Tuesday, June 22, 2021

RAIS SAMIA AELEKEA MSUMBIJI KUSHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI WANACHAMA WA SADC

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan , akiagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo  Juni 22,2021, alipokua akielekea Nchini Msumbiji  kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya SADC unaotarajiwa kuanza kesho. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo Juni 22,2021, alipokua akielekea Nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya SADC unaotarajiwa kuanza kesho.

0 comments:

Post a Comment