RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA NIGERIA OLESEGUN OBASANJO IKULU CHAMWINO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais (mstaafu) wa Nigeria Mhe. Olesegun Obasanjo mara baada ya mazungumzo yao Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma Aprili 3, 2021. Mazungumzo hayo pia yalihudhuriwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Liberata Mulamula. (PICHA NA IKULU)
Comments
Post a Comment