RAIS SAMIA AHUTUBIA BUNGE LA TAIFA NA BUNGE LA SENET KENYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Bunge la Taifa la Kenya na Bunge la Seneti kwa pamoja jijini Nairobi Kenya leo Mei 5, 2021. Rais alikuwa kwenye ziara ya Kitaifa ya Siku mbili na anatarajiwa kurejea nyumbani jioni hii.


 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"