MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM, RAIS SAMIA AUNGANA NA WAJUMBE WENZAKE KWENYE KIKAO KINACHOFANYIKA DODOMA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan na

wajumbe wengine wakiwa tayari kuanza kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kinachoongozwa na Makamu Mwenyekiti wake

(bara) Ndugu Philip Mangula akisaidiana na Makamu wa Mwenyekiti mwenza

(Visiwani) Rais Mstaafu wa Zanzibar Ali Mohamed Shein katika Ukumbi wa

Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Jumatano Aprili 28,

2021.






 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"