RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA TAASISI YA HELPING HAND IKULU ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Taarifa ya Kazi za Helping Hand for Relief of Development Tanzania na Mwenyekiti wa Bodi Sheikh Yassir Salim Awadh, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Helping Hand for Relief and Development Tanzania.Sheikh.Yasser Salim Awadh, alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Helping Hand for Relief of Development Tanzania, ukiongoza na Mwenyekiti wa Bodi Sheikh.Yassir Salim Awadh (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"