RAIS WA ZANZIBAR DKT. MWINYI NA MAKAMU WAKE WA KWANZA WA RAIS MAALIM SEIF WAMTEMBELEA RAIS MAGUFULI WILAYANI CHATO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimkaribisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.
Maalim Seif Shariff Hamad alipowasili Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita. Katikati ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiangalia leo Alhamisi Januari 14, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi  na Makamu wa Kwanza wa
Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Shariff Hamad katika Ikulu ndogo ya
Chato mkoani Geita leo Alhamisi Januari 14, 2021

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Maryam Mwinyi wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Geita kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kijijini kwake Chato leo Alhamisi Januari 14, 2021
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi  akisalimiana na wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Geita alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Geita
kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli kijijini kwake Chato leo Alhamisi Januari 14, 2021

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi  na mkewe Mama Maryam Mwinyi wakipata picha ya kumbukumbu na marubani na wafanyakazi wa ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyowaleta katika Uwanja wa ndege wa Geita walipofika kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kijijini kwake Chato leo Alhamisi Januari 14, 2021
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi  akiongozana na Mbunge wa Chato na Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani baada ya kushuka kutoka katika  ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyowaleta katika Uwanja wa ndege wa Geita walipofika kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kijijini kwake Chato leo Alhamisi Januari 14, 2021 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi  na mkewe Mama Maryam wakiwa na Mbunge wa Chato na Waziri wa Nishati Dkt. Medard
Kalemani baada ya kushuka kutoka katika  ndege ya Shirika la Ndege la
Tanzania (ATCL) iliyowaleta katika Uwanja wa ndege wa Geita walipofika kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kijijini kwake Chato leo Alhamisi Januari 14, 2021 (PICHA NA IKULU).

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"