Monday, January 25, 2021

RAIS WA ETHIOPIA SAHLE-WORK ZEWDE AWASILI CHATO NA KUPOKELEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muunmgano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa

Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

Rais wa Jamhuri ya Muunmgano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiongea kwa furaha na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

Rais wa Jamhuri ya Muunmgano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimtambulisha kwa viongozi mbalimbali mgeni wake Rais wa
Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde alipowasili katika Uwanja wa
Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021 kwa ziara ya
kikazi ya siku moja.
Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde akitelemka katika ndege mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021.(Picha na IKULU)

0 comments:

Post a Comment