NAIBU WAZIRI MARY FRANCIS AONGOZA MAZOEZI WILAYANI MAGU

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Francis Masanja ( wa pili kutoka kushoto mbele) akiongoza mazoezi ya kutembea na kukimbia yaliyowahusisha wananchi na viongozi mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu akiwemo Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Salum Kalli (,) leo tarehe 30/1/2021.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Francis Masanja akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Magu mara baada ya  kuongoza mazoezi ya kutembea na kukimbia yaliyowahusisha pia viongozi wa Halmashauri hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Magu, Mhe. Salum Kalli akiongea na Wananchi mara baada ya kuhitimisha  mazoezi ya kutembea na kukimbia yaliyowahusisha wananchi na viongozi na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu leo Januari 30, 2021.
 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"