RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK. HUSSEIN ALI MWINYI AJUMUIKA NA WAUMONI WA KIISLAM KATIKA SAKLA YA IJUMAA ILIOFANYIKA MASJID ISTIQAAMA SHANGANI JIJINI ZANZIBAR LEO 4/12/2020.K

AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Masjid Istiqaama Shangani Jijini Zanzibar, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Istiqaama leo 4/12/2020.(Picha Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa, baada ya kumalizika kwa sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Istiqaama Shangani Jijini Zanzibar leo 4/12/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam wakiitikia dua ikisomwa na Sheikh. Mudathir, na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh.Omar Saleh Kabi, baada ya kumalizika kwa  Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Istiqaama Shangani Jijini Zanzibar leo 4/12/2020.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi.Alhajj Dk.Hussein  Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Istiqaama Shangani  mji mkongwe Jijini Zanzibar leo 4/12/2020 na
kuwataka Wananchi kuilinda amani Nchini (Picha na Ikulu)

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"