NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU, PROF. JAMES MDOE ATEMBELEA OFISI ZA BODI YA MIKOPO.

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru (katikati) akitoa ufafanuzi wa jambo kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe (kulia) wakati wa ziara iliyofanywa na Prof. Mdoe kutembelea Ofisi za Makao Makuu ya HESLB Tazara Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Novemba 12, 2020. Kushoto ni Mkurugenzi wa Upangaji Mikopo HESLB Dkt. Veronica Nyahende.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe akizungumza jambo wakati wa ziara yake aliyoifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Tazara Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Novemba 12, 2020. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru na Mkurugenzi wa Upangaji Mikopo HESLB, Dkt. Veronica Nyahende.
(PICHA NA BODI YA MIKOPO- HESLB)
 
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe (wa pili kulia) akipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu (HESLB) Abdul-Razaq Badru (kulia) na wajumbe wa Menejimenti ya HESLB wakati wa ziara yake aliyoifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya HESLB Tazara Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Novemba 12, 2020.

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"