MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DODOMA










Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakati wakitoka kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika jijini Dodoma leo tarehe 28 Novemba 2020.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati wakiimba Wimbo wa Chama pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM muda mfupi kabla ya kuanza kuongoza kikao hicho leo tarehe 28 Novemba, 2020 jijini Dodoma



 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM mkoani Dodoma leo tarehe 28 jijini Dodoma. (Picha na IKULU).


Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"