DKT. HUSSEIN MWINYI AAPISHWA KUWA RAIS WA ZANZIBAR

Sherehe za kumuapisha Rais mteule wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. HUSSEIN Ali Hassan Mwinyi zimefanyika leo Novemba 2, 2020 kwenye uwanja wa Aman mjini Unguja. Baada ya kula kiapo Rais Mwinyi alipokea salami ya heshima ya kupigiwa mizinga 21 kabla ya kukagua gwaride la heshima la vikosi vya ulinzi na usalama.

Katika hafla hiyo iliyofana, vingozi mbalimbali wa Bara na Zanzibar wakiwemo wastaafu walihudhuria hafla hiyo bapo Rais aliyemaliza muda wake wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein na mkewe mama Mwanamwema Shein walihudhuria hafla hiyo.













 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"