MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KOROGWE MKOANI TANGA

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Korogwe katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga leo tarehe 20 Oktoba 2020.

Sehemu ya Wananchi wa Korogwe waliohudhuria mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Korogwe.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwaelekeza Wananchi namna ya kumpigia Kura yeye pamoja na Mgombea Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Karatasi ya kupigia Kura katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga leo tarehe 20 Oktoba 2020

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"