RAIS MAGUFULI AMPOKEA MGENI WAKE RAIS WA BURUNDI NDAYISHIMIYE MKOANI KIGOMA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na mgeni wake, Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye kwenye uwanja wa mpira Lake Tanganyika ulioko eneo la Mnarani mkoani Kigoma Septemba 19, 2020. Rais huyo wa Burundi yuko nchini kwa ziara ya siku moja ya kiserikali.




Rais Dkt.John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wakati wa ziara ya Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma Septemba 19,2020.
Rais Evariste Ndayishimiye akihutubia wananchi  kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma baada ya kupokewa na mwenyeji wake Rais Dkt. John Magufuli Septemba 19,2020.(PICHA NA IKULU).
 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"