Thursday, October 1, 2020

JPM AHUTUBIA WANANACHI WA MBALIZI, AOMBEWA NA MASISTER WA KANISA KATOLIKI MBEYAMgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi Mbalizi mkoani Mbeya wakati akielekea Tundumba kwa ajili ya Mikutano ya Kampeni za Urais kwa upande wa CCM leo tarehe 01 Oktoba 2020. 
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi Mbalizi mkoani Mbeya wakati akielekea Tundumba kwa ajili ya Mikutano ya Kampeni za Urais kwa upande wa CCM leo tarehe 01 Oktoba 2020. 


Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi Mbalizi mkoani Mbeya wakati akielekea Tundumba kwa ajili ya Mikutano ya Kampeni za Urais kwa upande wa CCM leo tarehe 01 Oktoba 2020.  Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa Sala ya heri katika Majukumu yake na Masista wa Kanisa Katoliki jijini Mbeya jana mara baada ya kuwahutubia Maelfu ya Wananchi wa mkoa wa Mbeya 

0 comments:

Post a Comment