JPM AENDELEA NA KAMPENI AKIWA NJIANI KUELEKEA TABORA AKITOKEA MKOANI KIGOMA

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kaliua wakati akielekea Uvinza mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Simbo (hawaonekani pichani) wakati akielekea Uvinza mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kidahwe mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.
Sehemu ya wananchi wa Kazuramimba mkoani Kigoma wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika mji huo kwa ajili ya  mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.

 Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa KALIUA mkoani Tabora katika mkutano wa Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"