HIVI NDIVYO MGOMBEA URAIS WA CCM,RAIS DKT MAGUFULI ALIVYOUTIKISA MJI WA KASULU LEO MKOANI KIGOMA

 

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia ya Wananchi wa Kasulu mkoani Kigoma katika Mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 17 Septemba 2020 
Umati wa watu waukimsikiliza Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa chama hicho,Rais Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia
Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wananchi wa Kasulu Vijijini mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni ya CCM leo tarehe 17 Septemba 2020. 
Wafuasi wa CCM na Wananchi wakishangilia ujio wa Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa chama hicho,Rais Dkt John Pombe Magufuli 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"