CHADEMA YAZINDUA KAMPENI ZAKE MBAGALA ZAKHEM, DAR ES SALAAM

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezindua rasmi kampeni zake kwenye uwanja wa Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam Agosti 28, 2020.

Katika uzinduzi huo Mgombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama hicho, Tundu Lissu pamoja na mgombea mwenza wake, Salum Mwalimu walihutubia katika wafuasi wa chama hicho na wananchi waliokusanyika katika viwanja hivyo.

Kampeni hizo zitaendelea hadi Oktoba 27, 2020 na uchaguzi utafanyika Oktoba 28, 2020 ili kumchagua Rais wa Jamhuri, ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani.

Mgomeba kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, akihutubia mkutano w akampeni wa chama hicho kwenye uzoinduai wake uliofanyika viwanja vya Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam Agosti 28, 2020. 

 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"