Posts

KUTOKA MAGAZETINI LEO ALHAMISI JULAI 1, 2021

Image
 

TFS WATOA MSAADA WA VITI, MEZA NA MADAWATI WILAYANI MUHEZA

Image
Mkuu wa Wilaya ya Muheza Halima Bulembo kushoto akipokea msaada wa madawati,viti na meza  kutoka kwa Mhifadhi wa shamba la miti Longuza Ellyneema Mwasalanga kwa ajili ya shule za Sekondari ,Msingi na Ofisi za Watendaji vyenye thamani ya Milioni 17.4 vilivyotolewa na Wakala wa Misitu Tanzania ( TFS) MKUU wa wilaya ya Muheza Halima Bulembo kulia akimkabidhi msaada huo Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Muheza mara baada ya kuvipokea kulia ni Mhifadhi wa shamba la miti Longuza Ellyneema Mwasalanga MKUU wa wilaya ya Muheza Halima Bulembo akizungumza wakati wa halfa hiyo ya makabidhiano iliyofanyika wilayani humo kulia  ni Mhifadhi wa shamba la miti Longuza Ellyneema Mwasalanga Mhifadhi wa shamba la miti Longuza Ellyneema Mwasalanga akizungumza wakati wa halfa hiyo ya makabidhiano Mhifadhi wa shamba la miti Longuza Ellyneema Mwasalanga akizungumza wakati wa halfa hiyo ya makabidhiano Meneja Mawasiliano wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) Martha Chasama akizungumza wakati wa halfa hiyo ya

HALMASHAURI KUU CCM WAAZIMIA KUTOA TAMKO KUMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KAZI NZURI ANAYOIFANYA YA KUONGOZA NCHI

Image
  KIKAO cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa(NEC) kimefanyika Jumanne  leo Juni 29, 2021 chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa White House Dodoma. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa wameazimia na kutoa tamko la kumpongeza  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Husein Ali Mwinyi  kwa kazi nzuri wanayoifanya katika kuiongoza nchi na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM 2020 - 2025. Kupitia taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo Juni 29,2021 na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama hicho Shaka Hamdu Shaka amesema aidha wajumbe hao wamebainisha kuwa tokea nchi ilipopata msiba mkubwa wa kuondokewa na aliyekuwa  Rais, Hayati Dkt. John Magufuli, ndani ya siku  100 za uongozi  wa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa na kuonyesha dira ya serikali anayoiongoza kuwa inazingatia uadilifu, Utawala wa Sh

SERIKALI YAZINDUA MPANGO WA TATU WA MAENDELEO WA TAIFA WA MIAKA MITANO

Image
  Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, akizindua   Kitabu cha Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano jijini Dodoma .   Kushoto kwa Waziri Mkuu  ni Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.  Job Ndugai. Kuanzia kulia kwa Waziri Mkuu ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango  Mhandisi Hamad Yusuff Masauni, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti Mhe. Daniel Sillo. Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, akionesha Kitabu cha Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano baada ya kukizindua, Kushoto kwa Waziri Mkuu ni Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai, kulia kwa Waziri Mkuu ni   Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.  Mhandisi Hamad  Yusuf Masauni, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, jijini Dodoma . Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, akimkabidhi   Kitabu cha Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni, wakati wa hafla ya u

BoT IKO TAYARI KUWAHUDUMIA WANANCHI WATAKAOTEMBELEA MAONESHO YA SABASABA BARABARA YA KILWA,DAR ES SALAAM.

Image
    Meneja Msaidizi wa Idara ya Uhusiano wa Benki Kuu ya Tanzania BoT, Vicky Msina akizungumza na baadhi ya maofisa wa benki kuu katika banda lao leo kwenye  maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam katika  viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Juni 29, 2021.    Baadhi ya wananchi wakipata maelezo kutoka kwa maofisa wa Benki Kuu ya Tanzania BoT waliotembelea banda hilo kwenye maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Juni 29, 2021.   Mmoja wa wananchi waliotembelea katika banda la Benki Kuu ya Tanzania BoT akiuliza swali kwa maofisa wa benki hiyo kwenye  maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Juni 29, 2021. Baadhi ya Maofisa wa Benki Kuu ya Tanzania BoT wakiwa tayari kabisa kuwahudumia wananchi watakaotembelea katika

BANCABC YASHIRIKI KONGAMANO LA KUCHOCHEA UCHUMI TEGEMEZI KWA WATU WENYE ULEMAVU JIJINI DODOMA

Image
  Mgeni Rasmi wa Mkutano Mkuu wa Uchumi na Mapendekezo ya Siku ya Mwanamke Mwenye Ulemavu Tanzania, Dk Tulia Ackson akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika jijini Dodoma, jana. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Amon Mpanju na Mwenyekiti wa Taasisi iliyoandaa mkutano huo ya Ikupa Trust Fund, Stella Ikupa (wa tatu kushoto) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya ABC, Imani John Bgoya akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchumi na Mapendekezo ya Siku ya Mwanamke Mwenye Ulemavu Tanzania uliofanyika jijini Dodoma, jana. Katikati ni Mgeni Rasmi wa mkutano huo, Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson. Mkutano huo uliandaliwa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Ikupa Trust Fund. Baadhi ya watendaji wa Benki ya ABC wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchumi na Mapendekezo ya Siku ya Mwanamke Mwenye Ulemavu Tanzania uliofanyika jijini Dodoma, jana. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angelina Mabula akiwa katika