Posts

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMANNE MEI 4, 2021

Image
 

NDAHANI AWASHAURI VIONGOZI WA DINI KUSAIDIA VIJANA KUANZISHA MIRADI YA KIUCHUMI

Image
  Kaimu Afisa Maendeleo Vijana Mkoa wa Singida, Frederick Ndahani  (kulia) akiwa na Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga-Minga Singida,  Padri Festo King'wai baada ya kutembelea parokia hiyo na kuzungumza na  baadhi ya vijana.wa Parokia hiyo,. Vijana wakiwa katika Parokia hiyo. Vijana wakiwa katika picha ya pamoja.  Picha ya pamoja. Na Dotto Mwaibale, Singida KAIMU Afisa Maendeleo Vijana Mkoa wa Singida, Frederick Ndahani amewashauri viongozi wa dini mkoani hapa kuwasaidia vijana kijikwamua na umaskini kwa kuanzisha miradi ya kiuchumi katika maeneo wanayoishi na ndani ya madhehebu yao ya dini . Makanisa na misikiti ina maeneo makubwa ambayo yakiratibiwa vyema na kupewa vijana itawasaidia na kuwasaidia viongozi wa dini katika maeneo yao. Ndahani aliyasema hayo jana wakati akizungumza na Vijana wa Kanisa Katoliki Parokia ya Minga  mkoani hapa. " Vijana walio katika mathehebu ya dini wanayo sifa ya kupata mikopo ya elimu ya juu ya kuanzisha vikundi vya ujasiriamali na sh

RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA NIGERIA OLESEGUN OBASANJO IKULU CHAMWINO

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais (mstaafu) wa Nigeria Mhe. Olesegun Obasanjo mara baada ya mazungumzo yao Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma Aprili 3, 2021 . Mazungumzo hayo pia yalihudhuriwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Liberata Mulamula. (PICHA NA IKULU)  

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMATATU MEI 3, 2021

Image
 

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMAPILI MEI 2, 2021

Image