Posts

KAMATI KUU YA CCM YAKETI DODOMA

Image
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo March 30,2021 ameshiriki katika kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambacho ni kikao Maalum kinachoendelea Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Jijini Dodoma.  

USAJILI WA VIKUNDI VYA KIJAMII VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA KIELEKTRONIKI

Image
 

RAIS SAMIA AMTEUA DKT. PHILIP ISIDOR MPANGO KUWA MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA

Image
 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango (pichani) kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, SPIKA wa Bunge Mhe. Job Ndugai ameliambia Bunge jijini Dodoma leo Machi 30, 2021. Dkt. Mpango alikuwa WAZIRI wa Fedha na Mipango na Mbunge wa Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma. Bunge linatarajiwa kumpitisha KATIKA kikao kinachoendelea kwa kumpigia kura ambapo inatakiwa wabunge ASILIMIA 50 wamuunge mkono. Wabunge 363 wamepiga kura na hakuna kura iliyoharibika na hakuna kura ya hapana hata moja. Kwahiyo amepata ASILIMIA 100 ya kura zote.

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMANNE MACHI 30, 2021

Image
 

SIMBACHAWENE AWASILISHA TAARIFA ZA UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI KWA KIPINDI CHA MWAKA 2020/2021 NA MPANGO WA BAJETI 2021/2022 JIJINI DODOMA.

Image
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiwasilisha  Taarifa za Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Kipindi cha Mwaka 2020/21 na Mpango wa Bajeti 2021/22 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama jijini Dodoma leo . Inspekta Jenerali wa Polisi,Simon Sirro  akizungumza wakati wa Uwasilishaji wa   Taarifa za Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Kipindi cha Mwaka 2020/21 na Mpango wa Bajeti 2021/22 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama jijini Dodoma leo Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,Suleiman Mzee,   akizungumza wakati wa Uwasilishaji wa   Taarifa za Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Kipindi cha Mwaka 2020/21 na Mpango wa Bajeti 2021/22 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama jijini Dodoma leo Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dkt.Anna Makakala   akizungumza wakati wa Uwasilishaji wa   Taarifa za Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Kipindi cha Mwaka 2020/21 na Mpango wa Bajeti 2021/2