KIWANDA CHA GALAXY&BEVERAGES LTD. KUNYWESHA MAZIWA MASHULENI
Kutoka katikati ni Kaimu Msajili wa Bodi ya maziwa Tanzania Noel Byamungu akifuatiwa na Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Arusha David Lyamongi , akikabidhiwa boksi la maziwa na Mkurugenzi wa kiwanda cha Galax Food Beverages LTD kama ishara ya kufungua rasmi mradi huo Kutoka katikati ni Kaimu Msajili wa Bodi ya maziwa Tanzania Noel Byamungu ,wamkwanza kulia ni Katibu Tawala msaidizi Uchumi na Uzalishaji Hargeney Chitukuro akikabidhiwa mtindi kama ishara ya kufungua rasmi mradi huo Kaimu Msajili wa Bodi ya maziwa nchini Noel Byamungu kusaini makubaliano ya utekelezaji wa mpango wa unywaji wa maziwa mashuleni Kikao cha kusaini makubaliano ya utekelezaji wa mpango wa unywaji wa maziwa mashuleni kikiendelea kayika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa Arusha Irthan Virjee Mkurugenzi wa kiwanda Cha Galax Food Beverages LTD wanaozalisha maziwa ya Kilimanjaro, akisaini makubaliano ya utekelezaji wa mpango wa unywaji wa maziwa mashuleni Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Longido C