RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI UAPISHA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha na pamoja na Viongozi wa Vyama vya Siasa waliosimama nyuma na waliokaa kutoka (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi.(Picha na Ikulu)








 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"