Posts

DAYANA VIVIAN MABULA ALIVYOMEREREMETA KATIKA SEND OFF MWANZA

Image
Dayana Vivian Mabula mtoto wa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula akipunga mikono kuwaaga waalikwa wakati akitoka katika sherehe yake ya Send Off iliyofanyika katika ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza tarehe 30 Januari 2020. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula akimkabidhi Hati ya Kiwanja mtoto wake Dayana Vivian Mabula na kumtaka kuhakikisha analipa kodi ya pango la ardhi ili kuepuka tozo ya adhabu wakati wa sherehe yake ya Send Off iliyofanyika kwenye ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza tarehe 30 Januari 2021. Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT) Mwalimu    Queen Mlozi. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe William Lukuvi akizungumza kabla ya kumkabidhi zawadi Dayana Vivian Mabula ambaye ni mtoto wa Naibu Waziri wa Ardhi Dkt Angeline Mabula katika sherehe ya Send Off iliyofanyika ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza tarehe 30 Januari 2021. Waziri

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMATATU FEBRUARI 1, 2021

Image
 

WILAYA ITAKAYOKUMBWA NA NJAA DC ATAONDOKA: MAGUFULI

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Manyoni mjini mkoani Singida wakati akiondoka mara baada ya kuwahutubia leo tarehe 31 Januari 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Manyoni mjini mkoani Singida wakati akiondoka mara baada ya kuwahutubia leo tarehe 31 Januari 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na watoto mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Manyoni mjini mkoani Singida Januari 31, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na watoto mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Manyoni mjini mkoani Singida Januari 31, 2021.(Picha na IKULU). NA MWANDISHI MAALUM. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewahimiza wananchi kufanya kazi kwa bidii kwani kuba kila dalili ya uwepo wa uhaba wa chakula Duniani kwa vile mataifa mengi wame

NAIBU WAZIRI MABULA AWABANA WATENDAJI SEKTA YA ARDHI KUONGEZA KASI UTOAJI HATI

Image
  Na  Munir Shemweta, WANMM, MARA   Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka Watendaji wote wa sekta ya ardhi katika halmashauri kushiriki zoezi la kuandaa hati za ardhi ili kuongeza kasi ya utoaji hati katika maeneo mbalimbali nchini.   Dkt Mabula ametoa agizo hilo mwishoni mwa wiki alipozungumza na wataalamu wa sekta ya ardhi katika mkoa wa Mara akiwa katika ziara ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi na kuhamasisha ukusanyaji maduhuli ya Serikali kupitia kodi ya pango la ardhi katika mkoa huo.   Alisema, baadhi ya halmashauri nchini zimekuwa na kasi ndogo ya uandaaji hati za ardhi kwa kisingizio cha kuwa na wataalamu wachache wa kuandaa hati wakati halmashauri hizo zina wataalamu mbalimbali wa sekta hiyo na kutolea mfano wataalamu wa Mipango Miji, Warasimu Ramani, Wapimaji na  Wathamani aliowaeleza wamekuwa wakisoma chuo kinachotoa taaluma ya sekta ya ardhi.   Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi aliongeza kwa kusema kuwa,

URASIMISHAJI WAWEZESHA WANANCHI NJOMVE KUKOPA TZS BILIONI 3.1

Image
Na Mwandishi  Wetu- Njombe WAFANYABIASHARA na wakulima waliorasimisha biashara, ardhi na makazi yao katika Halamashauri ya Mji wa Njombe, wametumia hati za hakimili za kimila kukopa zaidi ya Shilingi bilioni 3.1 katika taasisi za fedha zikiwemo benki za NBC, CRDB, NMB na Benki ya Posta kati ya mwaka 2018 na 2020. Akizungumza wakati wa ziara ya Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) kutembea wanufaika wa Mpango huo leo Januari 29, 2021, Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Balozi (Mstaafu) Daniel Ole Njoolay, amesema Halmashauri ya Mji wa Njombe ni mfano bora wa kuigwa na halmashauri nyingine kwa namna ilivyotekeleza kikamilifu dhana ya urasimishaji hali iliyowawezesha wananchi kupata mikopo katika taasisi za fedha baada ya urasimishaji tasilimali zao na kupata hati za hakimiliki za kimila. “Viwanja zaidi ya elfu 10 vimepimwa hapa katika Mji wa Njombe na hii ni ishara kuwa urasimishaji umekuwa na matokeo chanya, hivyo nawapongeza wan

WAZIRI MHAGAMA AZINDUA MPANGO KAZI WA KUSIKILIZA NA KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA WADAU KATIKA SEKTA YA KAZI NA AJIRA

Image
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.  Jenista Mhagama akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Mpango Kazi wa Kusikiliza na Kushughulikia Malalamiko ya Wadau katika sekta ya kazi na ajira uliofanyika ukumbi wa mikutano wa NSSF mkoani Morogoro Januari 29, 2021, kulia kwake ni rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi, Tumaini Nyamhokya, kushoto kwake ni Mwakilishi wa ILO Bw. Maridadi Phanuel, wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Loata Sanare, wa pili kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Bw. Andrew Massawe na wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waajiri Dkt. Aggrey Mlimuka. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.  Jenista Mhagama akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mpango Kazi wa Kusikiliza na Kushughulikia Malalamiko ya Wadau katika sekta ya kazi na ajira uliofanyika mkoani Morogoro, Januari 29, 2021. Waziri