Posts

BENKI KUU YA TANZANIA (BoT) YAJIPANGA KUNUNUA TANI SITA ZA DHAHABU KWA MWAKA

Image
  Naibu Gavana wa BoT, Dkt. Yamungu Kayandabila Akizungumza katika semina kuhusu fursa zilizopo kwenye mnyororo wa thamani katika sekta ya Madini hasa watoa huduma kwenye migodi, ukumbi wa Mkapa kwenye Maonesho ya Teknolojia ya Madini, Viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita Septemba 28, 2023. Meneja Msaidizi, Upatikanaji na Usimamizi wa akiba ya Fedha za kigeni nchini BoT Dkt. Anna LyimoLyimo akifafanua mambo mbalimbali katika semina hiyo iliyofanyika mjini Geita Septemba 28, 2023. Naibu Gavana wa BoT, Dkt. Yamungu Kayandabila akiwa katika semina hiyo na watenaji na viongozi wengine katika sekta ya madini. Meneja Msaidizi, Upatikanaji na Usimamizi wa akiba ya Fedha za kigeni nchini BoT Dkt. Anna Lyimo akijadiliana jambo na Mkurugezi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO Dkt. Venance Mwase mara banda ya kumalizika kwa semina hiyo iliyofanyika mjini Geita Septemba 28, 2023. .................................... NA JOHN BUKUKU, GEITA Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imejipanga ku

NAIBU WAZIRI WA FEDHA HAMAD HASSAN CHANDE AHAMASISHA MATUMIZI SAHIHI YA EFD ARUSHA

Image
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akizungumza wakati alipofika katika Ofisi ya  Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John Mongella, kabla ya kuanza ziara yake ya siku mbili, iliyolenga kutatua changamoto mbalimbali wanazopitia wafanyabiashara na kuhamasisha matumizi sahihi ya Mashine za Kieletroniki za kutolea risiti (EFD, jijini Arusha. Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akimsikiliza mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John Mongella, wakati alipofika katika ofisi yake kabla ya kuanza ziara yake ya siku mbili, iliyolenga kutatua changamoto mbalimbali wanazopitia wafanyabiashara na kuhamasisha matumizi sahihi ya Mashine za Kieletroniki za kutolea risiti (EFD, jijini Arusha. Baadhi ya wanakamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Arusha, wakimsikiliza Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), alipokutana na kuzungumza nao katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, ambapo anafanya ziara ya siku mbili mkoani humo kusikiliza changamoto mbalimbali wanazopiti

WAAJIRI WAASWA KUTUMIA MFUMO WA KIDIJITALI KUWASILISHA MADAI YA FIDIA WCF

Image
  NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID WAAJIRI kote nchini wamehimizwa kutumia TEHAMA kuwasilisha taarifa kuhusu mfanyakazi aliyepata Ajali, Ugonjwa au Kifo kilichotokana na kazi aliyoajiriwa kwa mujibu wa mkataba wa ajira yake,  ili kurahisisha mchakato wa malipo ya fidia. Wito huo umetolewa  hivi karibuni na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidida kwa Wafanyakazi, (WCF), Dkt. John Mduma,  wakati akifungua semina kwa maafisa rasilimali na maafisa usalama na afya mahali pa kazi wa mkoa wa Dar es Salaam. Alisema, kwa majukumu waliyonayo maafisa hao kutoka kwenye kampuni wanazoziwakilisha, wao ni kiungo muhimu kati ya mwajiri na WCF, na kwamba Mfuko, umehakikisha unarahisisha utoaji wa huduma ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia na kwa sasa huduma zote zinapatikana mtandaoni kupitia (portal.wcf.go.tz). “Uzoefu wetu unaonyesha uptake ipo ya kutosha ya huduma zetu na hasa huduma zinapatikana mtandaoni, ni rai yangu kuendelea kuwahimiza kutumia mitandao inayotoa huduma za WCF,  na sit u kurahisisha ut

DC SAME 'AWA MBOGO' WALIOVAMIA CHANZO CHA MAJI NA KUCHIMBA MADINI KINYUME CHA SHERIA

Image
  Na Ashrack Miraji, Same Mkuu wa wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, Mhe.  Kasilda Mgeni, ametahadharisha tabia ya ukiukwaji wa Sheria uwepo wa watu walioingia kinyemela na kuanza kuchimba Madini  katika eneo ambalo ni karibu na chanzo cha maji kinacho tegemewa na zaidi ya wakazi 21,000 wa kata mbili Za Kisiwani na Msindo Wilayani humo. Ametoa onyo hilo akiwa na kamati ya Usalama Wilaya ya Same wakati wa Oparesheni  maalum ya kushtukiza kufuatilia taarifa za uwepo shughuli za uchimbaji madini ya Dhahabu, unaofanyika kinyume na taratibu Za kisheria. Kwa mujibu wa mkuu wa Wilaya, taarifa zilizo mfikia ni kwamba mbali na wachimbaji hao kufanya shughuli zao kinyemela pia wanatumia vyanzo vya maji ambavyo vipo karibu na machimbo hayo kusafishia madini wakitumia pia Mercury na kuhatarisha usalama wa watumiaji wengine wa maji hayo. "Kuingia huku kinyemela na kuharibu  miundombinu  ya maji ni hujuma hatutavumilia vitendo kama hivi, niwatake Jeshi la Polisi kuweka kambi kwenye eneo hili k

MKUU WA WILAYA CHUNYA AIPONGEZA STAMICO KUSHIRIKISHA MAKUNDI MAALUM.

Image
  Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mhe. Mayeka Simon Mayeka amelipongeza Shirika la Madini la Taifa STAMICO kwa uamuzi wake wa kushirikiana na vikundi mbalimbali katika uchimbaji. Hayo ameyasema alipotembelea banda la STAMICO wakati wa maonesho ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita. Amesema STAMICO imefanya jambo la kishujaa la kuwakumbuka watu wa makundi maalumu ambayo yamekuwa yakisahaulika katika shughuli za kiuchumi. Ameipongeza tena kwa kushiriki kikamilifu katika suala nzima la kutunza mazingira kwa kuzalisha mkaa mbadala sambamba na kupanda miti katika maeneo mbalimbali. Ameitaka STAMICO kuendelea kutoa elimu ya matumizi mbadala ya magogo (Matimba) ambayo ni chuma katika shughuli za uchimbaji. "Niwapongeze STAMICO kwa jitihada mnazozifanya za kuwaendeleza wachimbaji wadogo, naomba mzidi kutoa elimu ya matumizi mbadala wa miti katika uchimbaji ili kupunguza ukataji wa miti" alisisitiza Mhe. Mayeka Simon Mayeka.

KUTOKA MAGAZETINI LEO ALHAMISI SEPTEMBA 28, 2023

Image