Posts

IGP WAMBURA AONGOZA KIKAO CHA KUPIMA UTENDAJI WA JESHI LA POLISI

Image
Mkutano wa 14 wa kupima Utendaji (Performance Review Meeting- PRM) wa Maafisa wa vyeo vya juu wa Jeshi la Polisi umrfanyika leo Desemba 28, 2022 Jijini Dodoma. Mkutano huo umeongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camillus Wambura na umehudhuriwa na Makamishna, Ma naibu Kamishna, Wakuu wa Vikosi na Vitengo vya Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camillus Wambura akizungumza na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai DCI Ramadhani Kingai baada ya kuwasili katika ukumbi wa Polisi Jamii Jijini Dodoma kwa ajili ya kuongoza Mkutano wa 14 wa kupima utendaji (Performance Review Meeting - PRM) leo Disemba 28, 2022. Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camillus Wambura akisalimiana na Makamishna wa Jeshi la Polisi baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Polisi Jamii Jijini Dodoma kwa ajili ya kuongoza Mkutano wa 14 wa kupima utendaji (Performance Review Meeting- PRM) unaofanyika leo Disemba 28, 2022.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA DKT. SALIM AHMED SALIM

Image
Waziri  Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim (Katikati) wakati alipomtembelea nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es salaam Disemba 27, 2022. Kushoto ni Ahmed Salim ambaye ni Mtoto wa Dkt. Salim. Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Ahmed Salim ambaye mtoto wa  Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim wakati alipomtembelea Waziri Mkuu huyo Mstaafu nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es salaam Disemba 27, 2022.

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMANNE DESEMBA 27, 2022

Image
 

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMATATU DESEMBA 26, 2022

Image
 

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMAPILI DESEMBA 25, 2022

Image