Posts

KUTOKA MAGAZETINI LEO ALHAMISI SEPTEMBA 29, 2022

Image
 

Watu 791 Wafanyiwa Uchunguzi Na Matibabu Kambi Maalum Ya Matibabu Ya Moyo Inayofanyika Mkoani Arusha

Image
  Na Mwandishi maalum – Arusha . Watu 791 wamefanyiwa uchunguzi na kupata matibabu katika kambi maalum ya matibabu ya moyo inayofanyika katika hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) ambapo wengi wao wamekutwa na matatizo mbalimbali ya moyo huku asilimia 25 wakiwa na tatizo la shinikizo la juu la damu. Kambi hiyo ya siku tano iliyoanza tarehe 26 na itamalizika tarehe 30 mwezi huu inafanywa na wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Arusha Lutheran Medica Centre. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Arusha mkuu wa idara ya utafiti na mafunzo ambaye pia ni daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter Kisenge alisema kufanyika kwa kambi hiyo ya matibabu ni mojawapo ya maadhimisho ya siku ya moyo duniani itakayofanyika tarehe 29 mwezi huu. “Katika kambi hii wananchi wanapimwa vipimo mbalimbali vya moyo ikiwa ni pamoja na urefu, uzito, kuangalia uwiano baina ya urefu na uzito, kipimo cha kuanga

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMATANO SEPTEMBA 28, 2022

Image