Posts

RAIS SAMIA AWAAPISHA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, MAJAJI

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akimvalisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Magereza (SACP) Mzee Ramadhani Nyamka Cheo kipya cha Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) kabla ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Jeshi hilo katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Mzee Ramadhani Nyamka kuwa Mkuu wa Jeshi hilo katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022. Rais pia amewaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Mzee Ramadhani Nyamka mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022.  

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMATATU AGOSTI 29, 2022

Image