WADAU WA ALMASI AFRIKA, KUKUTANA ARUSHA.
Na Ashura Mohamed, Arusha. Jumla ya nchi 18 katika bara la Afrika zinatarajia kukutana jijini Arusha katika mkutano wa dharula wa baraza la mawaziri wa Jumuiya ya nchi za Afrika zinazozalisha Almasi(ADPA). Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa Waziri wa Madini Dotto Biteko alisema kuwa katka nchi hizo,nchi 12 ni mwanachama zinazozalisha ambazo zimefuata Sheria za ADPA za Sasa na nchi Sita ni waangalizi zile ambazo jiolojia yake ina uwezo wa kuazalisha almasi na mwisho zinaweza kuwa na wazalishaji wa siku za usoni. "Kama nilivyowaambia kuwa Tanzania Kama mwenyekiti wa mkutano wa tatu wa dharura wa Baraza la mawaziri wa nchi zinazozalisha almasi Afrika itakuwa na mkutano wa Baraza la Mawaziri kesho Tarehe 29,Julai 2022,katika kituo Cha mikutano Cha kimataifa Arusha"Alisema Waziri Biteko Alisema kuwa mkutano huo mkutano huo umetanguliwa na kikao Cha kamati ya wataalamu kilichokaa kupitia taarifa na nyaraka za kabla ya kuwasiliana kwenye Baraza. Pia alisema kuwal engo