Posts

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMATANO JUNI 29, 2022

Image
 

RAIS SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA ACT-WAZALENDO IKULU. DAR ES SALAAM

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo baada ya mazungumzo yao katika utaratibu wake wa kawaida wa kukutana na Vyama vya Siasa Nchini tarehe 28 Juni 2022 Ikulu Jinini Dar Es Salaam.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo baada ya mazungumzo yao katika utaratibu wake wa kawaida wa kukutana na Vyama vya Siasa Nchini tarehe 28 Juni 2022 Ikulu Jinini Dar Es Salaam.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo baada ya mazungumzo yao katika utaratibu wake wa kawaida wa kukutana na Vyama vya Siasa Nchini tarehe 28 Juni 2022 Ikulu Jinini Dar Es Salaam.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo baada ya mazungumzo yao katika utaratibu wake wa k

NAIBU WAZIRI KATAMBI ABAINISHA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO YA MKUTANO WA WENYE ULEMAVU IKULU

Image
  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe. Patrobas Katambi akiwa na Mbunge wa Viti Maalum na Mkurugenzi wa Taasisi ya Ikupa Trust Fund (kulia) Mhe. Stella lkupa na Mbunge wa Viti Maalum, Mhe.  Riziki Lulida (kushoto kwake) pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Ritta Kabati (Kushoto aliyesimama) mara baada ya Mkutano Mkuu wa Kitaifa wa Wafanyakazi wenye Ulemavu, tarehe 27 Juni, 2022 jijini Dodoma, ulioandaliwa na Taasisi ya  Ikupa Trust Foundation. Mbunge wa Viti Maalum Riziki Lulida akifafanua umuhimu wa kutekeleza Sera na Sheria za Wenye Ulemavu nchini wakati wa Mkutano Mkuu wa Kitaifa wa Wafanyakazi wenye Ulemavu, tarehe 27 Juni, 2022 jijini Dodoma, ulioandaliwa na Taasisi ya  Ikupa Trust Foundation. Washiriki ambao ni Waajiri na Waajiriwa wakifuatilia Mkutano Mkuu wa Kitaifa wa Wafanyakazi wenye Ulemavu, tarehe 27 Juni, 2022 jijini Dodoma, ulioandaliwa na Taasisi ya  Ikupa Trust Foundation. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe. Patrobas Katambi akifafanua umuhimu wa kutekeleza Sera

WAZIRI MULAMULA AMUAGA BALOZI WA UBELGIJI

Image
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) ameagana na Balozi wa Ubelgiji nchini Mhe. Peter Van Acker ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini. Akizungumza na Mhe. Balozi Peter walipokutana katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam, Waziri Mulamula amesema Tanzania na Ubelgiji zimekuwa na uhusiano wa karibu tangu nchi hiyo ilipofungua Ubalozi wake hapa nchini mwaka 1980. “Uhusiano kati ya Tanzania na Ubelgiji umekuwa unakuwa na kuimarika………. kupitia awamu zote za serikali tumeshuhudia uwepo wa mipango ya maendeleo katika sekta za maji, elimu , nishati pamoja na biashara na uwekezaji,” amesema Balozi Mulamula. Waziri Mulamula ampongeza Mhe. Balozi kwa kumaliza utumishi wake nchini na kuacha uhusiano kati ya Tanzania na Ubelgiji ukiwa imara. Balozi Mulamula amesema pamoja na kwamba Balozi Peter anaondoka nchini amemhakikishia kuwa kundi la wafanyabiashara kutoka Ubelgiji litakuja nchini mwaka huu ikiwa ni mwendelezo wa kuk

IGP SIRRO "AWAPIGA DARASA" WAMAFUNZI WA KOZI YA AWALI YA ASKARI POLISI

Image
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro akizungumza na wanafunzi wa kozi ya awali ya askari Polisi katika shule ya Polisi Tanzania, Moshi mkoani Kilimanjaro  

MAKAMU WA RAIS AHUTUBIA MKUTANO WA UN WA BAHARI

Image
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia katika Mkutano wa Pili wa Umoja wa Mataifa kuhusu Uhifadhi wa Bahari na Rasilimali jijini Lisbon, Ureno tarehe 27 Juni 2022. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt . Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa mbalimbali duniani wakati wa Ufunguzi wa  Mkutano  wa Pili wa Umoja wa Mataifa kuhusu Uhifadhi wa Bahari na Rasilimali zake unaofanyika Lisbon nchini Ureno leo tarehe 27 Juni   2022.

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMANNE JUNI 28, 2022

Image