Posts

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MACHINGA JIJINI DAR ES SALAAM

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Wamachinga wa Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na Viongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Wamachinga wa Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na Viongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Viongozi mbalimbali wa Wamachinga kutoka Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na Viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 25 Januari, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu Mwenyekiti wa Wamachinga Taifa Bw. Stephen Lusinde mara baada ya kuzungumza na viongozi hao wa Wamachinga Ikulu Jijini Dar es Salaam leo 25 Januari, 2022.  

BENKI YA MAENDELEO AFRIKA (AfDB) YAWEKEZA DOLA ZA MAREKANI BILIONI 2.5 MIRADI YA MAENDELEO

Image
  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Bw. Kipronoh Cheptoo, anayesimamia nchi nane za Kiafrika katika Benki hiyo, ambazo ni Tanzania, Kenya, Ethiopia, Rwanda, Seychelles, Sudan Kusini, Eritrea na Uganda, alipomtembelea jijini Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati alipokutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Bw. Kipronoh Cheptoo, anayesimamia nchi nane za Kiafrika katika Benki hiyo, ambazo ni Tanzania, Kenya, Ethiopia, Rwanda, Seychelles, Sudan Kusini, Eritrea na Uganda, alipomtembelea jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo na Mlipaji Mkuu wa Serikali Bw. Emmanuel Tutuba. Kikao kati ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Bw. Kipronoh Cheptoo anayesimamia nchi nane za Kiafrika katika Be

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMANNE JANUARI 25, 2022

Image
 

WCF KAZI IENDELEE: PROFESA NDALICHAKO

Image
  NA K-VIS BLOG WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Profesa Joyce Ndalichako, ametembelea Ofisi za Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa lengo la kujionea shughuli za uendeshaji za Mfuko huo na kisha kazungumza na wafanyakazi. Mhe. Profesa Ndalichako ambaye alifuatana na Naibu wake, Mhe. Patrobas Katambi, alipokelewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, Bw. Emanuel Humba, Makamu Mwenyekiti, Bi. Rifai Mkumba, Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Dkt. John Mduma, Menejimenti na maafisa wengine wa Serikali.   Akizungumza na wafanyakazi, Mhe. Profesa Ndalichako alisema ametembelea idara na vitengo vyote na kujionea kazi nzuri inaendelea. “Nichukue nafasi hii kuupongeza uongozi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi WCF kwa kazi nzuri mnayofanya. Kazi yenu ina ubora sana, hongereni na endeleeni kuchapa kazi.” Amesema Profesa Ndalichako. Ameongeza kuwa Mfuko huo ni muhimu sana kwa wafanyakazi nchini na umeanzishwa ili kulinda nguvu kazi ya Taifa, ambapo mtum