Posts

MANISPAA YA SHINYANGA KUANZISHA MASHINDANO YA USAFI WA MAZINGIRA

Image
    Mkuu wa idara ya Usafi na Mazingira Manispaa ya Shinyanga Kuchibanda Snatus, akisoma taarifa ya mpango wa kuanzisha mashindano ya usafi wa mazingira kwenye Baraza la Madiwani kwa niaba ya Mkurugenzi. Picha zote na Marco Maduhu

SERIKALI IMEFUNGA MTAMBO WA KISASA JKCI WENYE UWEZO WA KUFANYA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MOYO (CATHETERIZATION LABORATORY - CATHLAB)

Image
Wataalamu wabobezi wa moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimzibua mgonjwa mishipa miwili ya damu ya moyo ambayo ilikuwa imeziba na kushindwa kupitisha damu vizuri. Uzibuaji huo umefanyika kwa kutumia mtambo mpya wa kisasa wa (Catheterization Laboratory - Cathlab) uliounganishwa na mtambo wa  Carto 3 System 3D &  mapping electrophysiology System wenye uwezo wa kufanya uchunguzi, kufunga vifaa visaidizi vya moyo, kuzibua mishipa ya damu ya moyo  na  kutibu hitilafu ya mfumo wa umeme  wa moyo.( Picha na JKCI) Wataalamu wabobezi wa moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete  (JKCI) wakimzibua mgonjwa mishipa miwili ya damu ya moyo ambayo ilikuwa imeziba na kushindwa kupitisha damu vizuri. Uzibuaji huo umefanyika kwa kutumia mtambo mpya wa kisasa wa  (Catheterization Laboratory - Cathlab) uliounganishwa  na mtambo wa  Carto 3 System 3D &  mapping electrophysiology System  ambao Serikali umeunu

BOT GOVERNOR LAUDS STAMICO FOR GOLD REFINERY

Image
Bank of Tanzania Governor Prof. Florens Luoga (pictured above) has commended the State Mining Corporation (Stamico) for enabling Tanzania to start gold refining to international standards. He said this after visiting the gold refinery, Mwanza Precious Minerals Limited in Mwanza city on Friday, where he witnessed the developments of the plant including trial production which started on April 21, 2021. “This is miners, gold dealers as well as other stakeholders in the sector. The envisaged dream for Tanzania to stop exporting raw gold is certainly coming to pass”, Prof. Luoga said. The BoT Governor expressed delight to hear that the refinery is capable of extracting other valuable minerals from the gold concentrates. “Given the production capacity of this plant, I believe that it will be able to refine all locally mined gold as well as those from neighbouring countries. These will bear the originality mark from Tanzania, and hence promote Tanzania overseas,” the Governor said.

GAVANA LUOGA AIPONGEZA STAMICO KUANZA KUCHAKATA DHAHABU

Image
  Benki Kuu ya Tanzania imelipongeza Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa hatua iliyofikia ya kuanza usafishaji wa dhahabu hapa nchini kwa ubora wa kimataifa. Pongezi hizo zimetolewa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga, (pichani juu)wakati alipotembelea kiwanda cha kusafisha dhahabu cha Mwanza Precious Minerals Limited, kilichopo jijini Mwanza Ijumaa na kujionea maendeleo yaliyofikiwa hadi sasa, ikiwemo kuanza uzalishaji. “Haya ni mapinduzi makubwa katika sekta ya madini na ukombozi kwa wachimbaji, wafanyabiashara na wadau wengine wa sekta hii. Ndoto ya Tanzania kuacha kusafirisha dhahabu ghafi naona inaelekea kutimia”, alisema Gavana Luoga. Aidha, Prof. Luoga alivutiwa na taarifa kwamba kiwanda hicho ambacho kinamilikiwa kwa ubia kati ya serikali kupitia STAMICO na wawekezaji wa nje, pia kina uwezo wa kutenganisha dhahabu na madini mengine ambayo yana thamani katika masoko ya madini duniani. “Kwa uwezo wa kiwanda hiki, nina imani mtaweza kununua dhahabu

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMAMOSI MEI 1, 2021

Image
 

RAIS SAMIA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA CCM KWA ASILIMIA 100%

Image
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mhe. Samia Suluhu Hassan amechaguliwa na Mkutano Mkuu Maalim wa CCM kuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kura 1862, sawa na ASILIMIA 100. Mwenyekiti wa uchaguzi, SPIKA wa Bunge, Mhe. Job Ndugai ametangaza kwenye mkutano huo unaofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo APRILI 30, 2021. Uchaguzi huo unafuatia kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho hayati Dkt. John Pombe Magufuli Machi 17, 2021. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mhe. Samia Suluhu Hassan amechaguliwa na Mkutano Mkuu Maalim wa CCM kuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kura 1862, sawa na ASILIMIA 100. Mwenyekiti wa uchaguzi, SPIKA wa Bunge, Mhe. Job Ndugai ametangaza kwenye mkutano huo unaofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo APRILI 30, 2021. Uchaguzi huo unafuatia kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho hayati Dkt. John Pombe Magufuli Machi 17, 2021

KAMPUNI YA GREEN MILE SAFARI YAREJESHEWA KITALU CHA LAKE NATRON EAST.

Image
Na Mwandishi Wetu - Dodoma Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ametoa hukumu ya Kitalu cha uwindaji cha cha Lake Natron East kilichoko wilayani Longido mkoani Arusha na kuagiza kampuni ya Green Mile Safari irejeshewe leseni ya umiliki wa kitalu hicho iliyofutwa mwaka 2019. Akitoa maamuzi hayo Dkt. Ndumbaro amesema kitalu hicho kinarejeshwa kwa Kampuni hiyo hadi mwaka 2022 kufuatia kufanyika kwa maombi ya mapitio ya hukumu iliyoifanya Kampuni ya Green Mile ifutiwe umiliki wa kitalu hicho.  Aidha,Dkt. Ndumbaro amesema kufuatia uchambuzi uliofanyika kuhusu uamuzi wa kufutiwa umiliki wa kitalu cha Lake Natron – East, amejiridhisha kuwa malalamiko ya muomba mapitio ambayo ni kampuni ya Green Mile Safari yana msingi wa kisheria, na barua ya Mhe. Waziri ya kufuta umiliki wa kitalu haikuzingatia sheria na misingi ya utawala bora “Iandaliwe rasimu itakayotumiwa katika umilikishaji wa vitalu itakayoonesha masharti ya kufuata ‘Terms and condition’ za kufuatwa na wawekezaji wakati w