KONGAMANO LA NNE LA TEHAMA KUFANYIKA OCTOBA 7 HADI 9
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari na menejimenti ya Wizara hiyo (hawapo pichani) kuhusu Kongamano la Nne la TEHAMA litakalofanyika Oktoba 7-9 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Kuendeleza Sekta ya Fedha Tanzania (FCDT) Sosthenes Kewe Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya TEHAMA, Samson Mwela akizungumza katika Mkutano wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula (katikati) na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Kongamano la Nne la TEHAMA litakalofanyika Oktoba 7-9 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam, kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonaz Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Kuendeleza Sekta ya Fedha Tanzania (FCDT) Sosthenes Kewe(kulia) akizungumza katika Mkutano wa Katibu Mkuu w