RC TABORA KUUNDA TIMU YA KUSHIRIKIANA NA TRC KUFUFUA KARAKANA YA SAMANI
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani (mwenye ushungi) akipata maelezo leo kutoka kwa Mhandisi Mitambo wa Shirika la Reli Tanzania(TRC) Kanda ya Tabora Rudolf Ngalason jinsi ya ukarabati wa vichwa vya treni unavyofanyika katika Karakana ya Reli iliyopo eneo la Cheyo mjini Tabora. Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani (kushoto) akisisitiza jambo leo wakati ziara yake ya kujitambulisha na kukagua shughuli mbalimbali za Shirika la Reli Tanzania(TRC) Kanda ya Tabora. Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani (katikati) akiwa katika picha ya pamoja leo na baadhi ya Watendaji wa Shirika la Reli Tanzania(TRC) Kanda ya Tabora na watumishi wa Chuo cha Teknolojia ya Reli cha Tabora. Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani (katikati) akitoa majumuisho ya ziara yake leo kwa baadhi ya watendaji wa Shirika la Reli Tanzania(TRC) Kanda ya Tabora na watumishi wa Chuo cha Teknolojia ya Reli cha Tabora. Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buri