Posts

BANCABC YASHIRIKI KONGAMANO LA KUCHOCHEA UCHUMI TEGEMEZI KWA WATU WENYE ULEMAVU JIJINI DODOMA

Image
  Mgeni Rasmi wa Mkutano Mkuu wa Uchumi na Mapendekezo ya Siku ya Mwanamke Mwenye Ulemavu Tanzania, Dk Tulia Ackson akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika jijini Dodoma, jana. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Amon Mpanju na Mwenyekiti wa Taasisi iliyoandaa mkutano huo ya Ikupa Trust Fund, Stella Ikupa (wa tatu kushoto) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya ABC, Imani John Bgoya akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchumi na Mapendekezo ya Siku ya Mwanamke Mwenye Ulemavu Tanzania uliofanyika jijini Dodoma, jana. Katikati ni Mgeni Rasmi wa mkutano huo, Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson. Mkutano huo uliandaliwa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Ikupa Trust Fund. Baadhi ya watendaji wa Benki ya ABC wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchumi na Mapendekezo ya Siku ya Mwanamke Mwenye Ulemavu Tanzania uliofanyika jijini Dodoma, jana. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angelina Mabula akiwa katika

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMATANO JUNI 30, 2021

Image
 

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA IDARA YA AFRIKA- IMF IKULU, DODOMA

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan   akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF-) Abebe Aemro Selassie Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 29 Juni, 2021. Mkurugenzi wa Idara ya Afrika (IMF) Abebe Aemro Selassie akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan yaliyofanyika Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 29 Juni, 2021. ( PICHA NA IKULU).

TANZIA: INJINIA MFUGALE AFARIKI DUNIA

Image
 

MAONESHO YA 45 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR E SALAAM: PSSSF YAJA KIVINGINE, WANACHAMA NA WANANCHI WAKARIBISHWA KUPATA TAARIFA ZA KUMILIKI NYUMBA

Image
 NA MWANDISHI WETU. MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umewaalika wanachama wake na wananchi kwa ujumla kutembeela banda la Mfuko huo ili kupata taarifa za huduma mbalimbali zikiwemo zile la kumiliki nyumba kwa gharama nafuu. Akizungumza kwenye banda namba 13 la Mfuko huo kwenye viwanja vya Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Juni 29, 2021 Meneja Uhusiano wa Mfuko huo Bw. James Mlowe alisema, Mfuko umedhamiria kwa dhati kuhakikisha unawawezesha wanachama wake na wananchi kwa ujumla kumiliki nyumba na viwanja sehemu mbalimbali nchini kwa kulipa kidogokidogo. “Tumeingia makubaliano na benki ya Azania ambayo itawawezesha wanachama na wananchi kukopa mikopo ya makazi (Mortgage loan) kwa masharti nafuu ili kununua nyumba na viwanja vinavyomilikiwa na PSSSF  kupitia uwekezaji iliyoweka sehemu mbalimbali nchini kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro, Shinyanga,

TUNDU LISSU AFURAHISHWA NA UONGOZI WA RAIS SAMIA NDANI YA SIKU 100

Image
  Rais Samia Suluhu Hassan WAKATI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitimiza siku 100 kama Rais wan chi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mhe. Tundu Lissu amefurahishwa na mambo kadhaa ambayo Rais ameyafanya. Akihojiwa kwenye kipindi cha Amka na BBC leo asubuhi Juni 29, 2021, Mhe. Lissu alisema mabadiliko makubwa ya kauli na vile vile ile healing ya watu kuna faraja kubwa, taifa limepumua kwa sababu Mamam Samia Suluhu Hassan yuko tofauti sana kwa kauli, anazungumza taratibu hatishii watu, vyombo vya habari vimeanza kuandika vitu ambavyo hawakuwa wakiviandika hapo kabla, alisema. “Kuna baadhi ya vitu ambavyo amevifanya ambavyo vimeongeza faraja mfano msimamo wake kuhusu ungonjwa wa Covid19 ambao umeua watu wengi duniani nchi ilikuwaimefika mahali   imekwama, mama amebadilisha hiyo hali tunaelekea kwenye ushirikiano na majirani zetu, ushirikiano na Jumuaiya ya Kimataifa na Shirika la Afya Duniani katika kukabiliana na hu

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMANNE JUNI 29, 2021

Image