Posts

RAIS MHE. SAMIA AHUTUBIA JUKWAA LA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA NA KENYA JIJINI NAIROBI

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta mara baada ya kuhutubia katika Jukwaa hilo la Wafanyabiashara wa Tanzania na Kenya lililofanyika jijini Nairobi nchini Kenya.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na mwenyeji wake Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta wakati nyimbo za Mataifa Mawili ya Tanzania na Kenya wakati zikipigwa mara baada ya kuwasili Ukumbini kwa ajili ya kuhutubia Jukwaa la Wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania lililofanyika Jijini Nairobi Kenya leo tarehe 05, Mei, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wafanyabiashara wa Tanzania na Kenya katika Kongamano hilo la Wafanyabiashara lililofanyika Jijini Nairobi Kenya leo tarehe 05, Mei, 2021. Sehemu ya viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyabiashara waliohudhuria Kongamano hilo jijini Nairobi. PICHA NA IKULU Sehemu ya viongozi m

MAJALIWA AZINDUA KAMPENI ZA CCM UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA MUHAMBWE

Image
  Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa  akimnadi mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo la Muhambwe, Dkt Florence Samizi kwenye uwanja wa Taifa Kibondo mjini Mei 4, 2021. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua kampeni za CCM katika Jimbo la Muhambwe kwenye  Uwanja wa Taifa Mjini Kibondo, Mei 4, 2021. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akizungumza na mgombea Ubunge wa Jimbo la Muhambwe, Dkt. Florence Samizi katika mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za CCM katika jimbo hilo, Mei 4, 2021. Wananchi wa Kibondo wakimshangilia Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa Taifa Kibondo Mjini kuzindua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo kwenye jimbo la Muhambwe.   Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akiingia kwenye uwanja wa Taifa Kibondo Mjini kuzindua kampeni za uchag

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMATANO MEI 5, 2021

Image
 

RAIS SAMIA KATIKA ZIARA YA KIHISTORIA NCHINI KENYA

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima aliloandaliwa na Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya leo tarehe 04 Aprili, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta wakati wa nyimbo za Mataifa Mawili ya Tanzania na Kenya zikipigwa mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya leo tarehe 04 Aprili, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya leo tarehe 04 Aprili, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta mara baada ya mazungumzo yao katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya. PICHA NA IKULU. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe

RAIS SAMIA AWASILI NCHINI KENYA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya kwa ajili ya ziara ya siku mbili . (PICHA NA IKULU )  

REPSSI TANZANIA WATOA MAFUNZO YA MSAADA WA KISAIKOLOJIA , NJOMBE, IRINGA NA MBEYA

Image
  Viongozi wa REPSSI Tanzania wakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe Kanoni Lauteli  (kushoto) kabla ya kuanza mafunzo. Viongozi wa REPSSI Tanzania wakiwa nje ya ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe.        Kamati ya ulinzi na usalama ya mama na mtoto, Wilayani Wanging'ombe wakiwa katika picha baada ya mafunzo.. Mafunzo yakitolewa na shirika hilo. Mafunzo yakitolewa na shirika hilo. Mafunzo yakiendelea. Na Mwandishi Wetu, Njombe SHIRIKA  la Regional Psychosocial Support Initiative (REPSSI) kwa kushirikiana na Tamisemi limetoa mafunzo juu ya namna ya kutoa msaada wa kisaikolojia kwa jamii, wakati wa majanga. Mafunzo hayo yaliyotolewa kwenye mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya yamezishirikisha kamati za ulinzi na usalama za mama na mtoto katika kila halmashauri kwenye mikoa hiyo. Akizungumza kwenye mafunzo hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa REPSSI Tanzania, Edwick Mapalala amesema licha ya huduma nyingi ambayo huwa zinatolewa kwenye majanga kama moto, mafuriko, ajali na mengine,