Posts

RAIS MAGUFULI ATOA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA MWANACHAMA WA CCM MAREHEMU BRITON WILFRED HUKO TUNDUMA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama Mzazi wa Marehemu Briton Wilfred Mollel, Roda Bryson Mwaisongole Tunduma mkoani Songwe.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amewashika mkono Watoto wawili wa aliyekuwa Mwanachama wa CCM Marehemu Briton Wilfred Mollel Tunduma mkoani Songwe leo tarehe 02 Oktoba 2020. PICHA NA IKULU  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisali pamoja na Familia ya Marehemu Briton Wilfred Mollel, kulia ni Mama Mzazi wa Marehemu Roda Bryson Mwaisongole, mke wa Marehemu Salome Philemon Mayao pamoja na Watoto wake wawili. Marehemu Briton aliuwawa tarehe 25 Agosti, 2020 Tunduma mkoani Songwe na ameacha Watoto watatu. Marehemu Briton alikuwa Mkuu wa Mafunzo na Mkuu wa Itifaki UVCCM Wilaya Momba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi rambirambi yake ya Sh. Milioni 3 Mama Mzazi wa Mare

Kuzinduliwa kwa Kituo cha Malya Dar es Salaam kutaongeza wataalamu wa michezo nchini

Image
 Na Eleuteri Mangi, WHUSM Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amezindua kituo cha michezo ili kuwaandaa na kuongeza idadi ya wataalamu wa michezo nchini. Kituo hicho kinachoendeshwa na cha Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya kipo jijini Dar es salaam katika Uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo Dkt. Abbasi alibainisha kuwa kati ya mambo ambayo alikuwa anajifunza baada ya kukabidhiwa wizara hiyo ilikuwa ni pamoja na uendeshaji wa shughuli za Wizara na taasisi zake hatua iliyompelekea kuagiza chuo hicho kiboreshwe ili iwe fursa ya kutengeneza wataalamu wa michezo wengi nchini. “Tumefanya uamuzi mgumu na muhimu sana wa kuleta kituo cha chuo chetu cha Michezo Malya hapa Dar es salaam ili kutoa na kuendeleza elimu ya michezo katika kada zote nchini na tunaamini mahitaji ni mengi sana” alisema Dkt. Abbasi. Dkt. Abbasi amesema kuwa wameanzisha kituo ambacho kitatoa programu mbalimbali za michezo ili kuendana na hali halisi ya sekt

Serikali kushirikiana na mashirika ya kimataifa kulea wasichana

Image
  Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk. Leonard Akwilapo akizungumza wakati akifungua kikao cha kamati inayosimamia mradi wa kuwawezesha wasichana walio katika umri balehe na mabinti wazazi kujitambua kupitia elimu nchini kilichofanyika kwenye hotel ya Protea Courtyard jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos Santos akizungumza wakati wa kikao cha kamati inayosimamia mradi wa kuwawezesha wasichana walio katika umri balehe na mabinti wazazi kujitambua kupitia elimu nchini kilichofanyika kwenye hotel ya Protea Courtyard jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi mkazi wa KOICA nchini Tanzania, Bw. Kyucheol Eo akitoa salamu za KOICA wakati wa kikao cha kamati inayosimamia mradi wa kuwawezesha wasichana walio katika umri balehe na mabinti wazazi kujitambua kupitia elimu nchini kilichofanyika kwenye hotel ya Protea Courtyard jijini Dar es Salaam. Mwakilishi wa Shirika la Wanawake la

UN YAMUUNGA MKONO RAIS DKT MAGUFULI KUTOKOMEZA UKATILI WA MWANAMKE IKUNGI

Image
    Mkuu wa   Mkoa wa Singida Mhe, Dk. Rehema Nchimbi akizungumza baada ya uzinduzi wa mradi kushoto ni  Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania   Zlatan Milisic Picha ya pamoja kati ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi na wawakilishi wa mashrika ya umoja wa mataifa ,wadau wa maendeleo na kmati ya ulinmzi na usalama ya wilaya ya Ikungi Na John Mapepele, Ikungi Mkuu wa   Mkoa wa Singida Mhe, Dk. Rehema Nchimbi   leo amezindua   miongoni mwa miradi mikubwa iliyowahi kutekelezwa nchini, mradi wa   pamoja   baina ya Mashirika ya Kimataifa ya UN Women na UNFPA kupitia ufadhiri   wa   Shirika la KOICA wa “Tuufikie usawa   wa jinsia kupitia kuwawezesha wanawake na wasichana”.   Mradi huo utagharimu takribani bilioni 11.5 za kitanzania   ambao utatekelezwa   katika Wilaya ya Ikungi mkoani Singida na Msalala mkoani   Shinyanga katika kipindi cha   miaka mitatu kuanzia sasa.   Dk. Nchimbi amesema lengo kuu la mradi huo ni kuchangia   katika kuwawezesha   wanawake na

YOUNG WOMEN LEADERSHIP YATOA MAFUNZO YA LISHE KWA WATOA HUDUMA YA AFYA NGAZI YA JAMII

Image
  Afisa Miradi wa Shirika la Young Women Leadership (YWL), Veronica Massawe akizungumza wakati wa mafunzo ya lishe kwa watoa huduma ya afya ngazi ya jamii kutoka Kata ya Mwawaza katika Manispaa ya Shinyanga. Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Shirika la Young Women Leadership ‘YWL’ linalojihusisha na utetezi wa haki za wanawake, vijana na watoto limetoa mafunzo ya lishe kwa watoa huduma ya afya ngazi ya jamii ili waweze kuelimisha wazazi au walezi wenye watoto kuanzia mwaka 0 hadi 6 kwa lengo la kuimarisha kinga ya mwili na afya kwa watoto chini ya umri wa miaka 6. Akizungumza leo Alhamis Oktoba 1,2020 wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Shinyanga Fairies Hotel, Afisa Lishe wa Manispaa ya Shinyanga, Joanitha Jovin aliwataka watoa huduma ya afya ngazi ya jamii kufikisha elimu hiyo kwa walengwa ili kuwasisitiza wazingatie lishe bora kwa watoto wao. “Kupitia mafunzo haya nendeni mkawaelimishe wazazi na walezi wenye watoto kuanzia mwaka 0 hadi 6 mliowa

KUTOKA MAGAZETINI LEO IJUMAA OKTOBA 2,2020

Image
 

MAASKOFU NA WACHUNGAJI WAZINDUA KITABU CHA UONGOZI ULIOTUKUKA WA RAIS JOHN MAGUFULI.

Image
  Askofu Mkuu wa Makanisa ya Naioth Gospel Assemblies of God ambaye pia ni Katibu Mkuu mstaafu wa Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania, Dkt. David Mwasota., akizungumza na Maaskofu  na Wachungaji kwenye  maombi ya kukiombea Kitabu cha Uongozi Uliotukuka wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla ya uzinduzi wa kitabu hicho iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwanzoni mwa wiki. Askofu Mkuu wa Makanisa ya Naioth Gospel Assemblies of God ambaye pia ni Katibu Mkuu mstaafu wa Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania, Dkt. David Mwasota.(kushot) akiwaongoza Maaskofu na Wachungaji kwenye  maombi ya kukiombea Kitabu cha Uongozi Uliotukuka wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla ya uzinduzi wa kitabu hicho iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwanzoni mwa wiki.. Maombi ya kukiombea kitabu hicho yakiendelea kufanyika. Muonekano wa kitabu hicho. Bishop Sedrick Ndonde wa Kanisa la Restroration Bible ambaye pia ni