Posts

MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM DKT. HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA UMOJA WA ASKARI WASTAAFU KISIWANI UNGUJA (UMAWA)

Image
Mgombea kiti cha rais wa Zanzibar, Dkt. HUSSEIN Mwinyi akizungumza na wanachama wa UMOJA wa Askari WASTAAFU Zanzibar (UMAWA) kisiwani Unguja Septemba 21, 2020 .  

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMATATU SEPTEMBA 21, 2020

Image
 

WATENDAJI POSTA WATAKIWA KUWA WABUNIFU

Image
Na Faraja Mpina, WUUM, Dodoma Msajili wa Hazina Athumani Selemani Mbutuka ameliagiza Shirika la Posta Tanzania (TPC) kubadilika katika utendaji wao kulingana na ushindani uliopo na mashirika mengine, kwa kuwa wabunifu kibiashara na kuweka malengo ya kuongeza ukusanyaji wa mapato hasa katika biashara yake ya duka la kubadilisha fedha (Bureau de change) ili kuhakikisha  wanaongeza uzalishaji, na uchumi wa Shirika hilo unaimarika ili kuweze kutoa gawio kubwa kwa Serikali. Mbutuka aliyasema hayo alipokuwa akifunga mafunzo ya siku tano ya viongozi wakuu wa Shirika hilo yaliyofanyika katika ukumbi wa TBA jijini Dodoma.  “Ili uingine katika ushindani ni lazima uwe na uwezo wa kushindana kwa kuzingatia fursa zilizopo, mahitaji ya wateja na ukuaji wa teknolojia, hasa kipindi hiki cha matumizi ya TEHAMA katika kutoa huduma mbalimbali kwa jamii. Shirika hili limepewa dhamana ya kutoa huduma nyeti na muhimu kwa Serikali na jamii, hivyo linatakiwa kuwa Shirika la mfano na lijiendeshe kwa faida kwa

JPM AENDELEA NA KAMPENI AKIWA NJIANI KUELEKEA TABORA AKITOKEA MKOANI KIGOMA

Image
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kaliua wakati akielekea Uvinza mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020. Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Simbo (hawaonekani pichani) wakati akielekea Uvinza mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020. Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kidahwe mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020. Sehemu ya wananchi wa Kazuramimba mkoani Kigoma wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika mji huo kwa ajili ya  mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.   Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe

CRDB YAWAFUNDA MAWAKALA WAKE WA MIPAKANI KUHUSU UTAKATISHAJI FEDHA

Image
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Dkt Anna Mghwira akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa Mawakala wa Benki ya CRDB wa mkoa wa Kilimanjaro ,mafunzo yaliyofanyika katika mji mdogo wa Himo mkoani Kilimanjaro. Baadhi ya Mawakala wa Benki ya CRDB mkoa wa wa Kilimanjaro walioshiriki katika mafunzo ya siku Moja yaliyofanyika katika Hoteli ya Africn Flower iliyopo mji Mdogo wa Himo mkoani Kilimanjaro  Meneja wa CRDB Kanda ya Kaskazini Chiku Issa akizungumza wakati wa mafunzo kwa Mawakala wa Benki hiyo yaliyofuguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt Anna Mghwira (kulia kwake) wengine katika picha ni Donat Mushi (kushoto) Meneja Mwandamizi wa CRDB Wakala na kulia ni Goodluck Ruhago ,Meneja Ufanisi wa Wakala kutoka CRDB Makao Makuu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Dkt Anna Mghwira akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa Mawakala wa Benki ya CRDB wa mkoa wa Kilimanjaro ,mafunzo yaliyofanyika katika mji mdogo wa Himo mkoani Kilimanjaro. Baadhi ya Mawakala wa Benki ya CRDB mkoa wa wa Kilimanj