8/05/2021

MAKAMU WA RAIS, DKT. MPANGO AMFARIJI MKURUGENZI WA IDARA YA USALAMA WA TAIFA CP. DIWANI ATHUMANI MSUYA


Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango  akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, CP. Diwani Athuman Msuya alipowassili  kuwapa pole Wana familia kufuatia kifo cha kaka mkubwa wa Mkurugenzi huyo Bw. Bisward Msuya kilichotokea Agosti 3, 2021.




 

    

0 comments:

Post a Comment