RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA YA JUU YA "LEGIONd " HONNER" IKULU ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akivishwa Tuzo aliyotunukiwa na Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe.Emmanuel Macron, Tuzo ya Juu ya Heshima ya “LEGION d” HONNER” akivishwa na Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Nchini Tanzania Mhe Frederic Clavier, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe Frederic Clavier (kulia kwake) akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu, kabla ya kutunukiwa Tuzo ya Heshima ya Juu ya “LEGION d” HONNER” iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe.Emmanuel Macron, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe. Frederic Clavier, baada ya kumaliza mazungumzo na kumtunuku Tuzo ya Juu ya Heshima ya “LEGION d” HONNER” iliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron, kwa Mchango wake mkubwa na ushirikiano wake alipokuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"