Thursday, June 10, 2021

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MASISI WA BOTSWANA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye MAZUNGUMZO na Mgeni wake Rais wa Botswana, Mhe. Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanahabari mara baada ya mazungumzo yao Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi akizungumza na Wanahabari Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni 2021. 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo na Ujumbe wa Botswana uliokuwa ukiongozwa na Rais wao Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni 2021.(PICHA NA IKULU).

0 comments:

Post a Comment