Tuesday, June 22, 2021

KAMATI KUU YA CCM YAKETI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, akiongozana na KATIBU MKUU wa chama hicho, Comrade Daniel chongolo ambapo ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kinachokutana leo Jumanne Juni 22, 2021 ambapo pamoja na Mambo mengine, Kamati Kuu imemteua Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Kenan Laban Kihongosi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM).0 comments:

Post a Comment