5/06/2021

ZIMAMOTO YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO TOKA NMB DODOMA 06 MEI, 2021

Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mbaraka Semwanza pamoja na Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati Nsolo Mlozi, wakionesha mfano wa fulana mojawapo kati ya mia nne (400) zilizokabidhiwa na NMB zitakazotumika katika Maadhimisho ya Wiki ya Zimamoto na Uokoaji Kitaifa yatakayofanyika Mkoani Morogoro katika Viwanja vya Tumbaku kuanzia tarehe 17 Mei hadi 21 Mei, 2021 yaliyobeba kauli mbiu isemayo “SHULE ZETU NI CHANZO CHA MAARIFA TUZILINDE DHIDI YA MAJANGA YA MOTO”Makabidhiano hayo yamefanyika leo Jjijini Dodoma, Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

 Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mbaraka Semwanza (Wapili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati Nsolo Mlozi (Wapili kulia) na baadhi ya Maofisa wa Benki ya NMB pamoja na wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mara baada ya zoezi la kukabidhiwa Vifaa mbalimbali vya michezo pamoja na fulana zitakazotumika katika Maadhimisho ya Wiki ya Zimamoto na Uokoaji Kitaifa yatakayofanyika Mkoani Morogoro katika Viwanja vya Tumbaku kuanzia tarehe 17 Mei hadi 21 Mei, 2021 yaliyobeba kauli mbiu isemayo “SHULE ZETU NI CHANZO CHA MAARIFA TUZILINDE DHIDI YA MAJANGA YA MOTO”Makabidhiano hayo yamefanyika leo Jjijini Dodoma, Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. (Picha Zote na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)

    

0 comments:

Post a Comment