WAZIRI BASHUNGWA AKUTANA NA VIONGOZI WA VYOMBO VYA HABARI VYA DINI

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa amekutana na Viongozi wa Vyombo vya habari vya taasisi za Dini nchini (TAREMA - Tanzania Religious Media Association) Kujadili juu ya changamoto ya Leseni za usajili wa vyombo vya vya habari vya taasisi za kidini Nchini. katika  Ukumbi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) 15 April 2021.


 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"