RAIS SAMIA AWASILI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasili jijini Dodoma leo tarehe 13 Aprili, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye Ndege ya Shirika la Ndege ATCL mara baada ya kuwasili jijini Dodoma leo tarehe 13 Aprili, 2021.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Marubani pamoja na Wahudumu wa Ndege ya Shirika la Ndege ATCL mara baada ya kuwasili jijini Dodoma leo tarehe 13 Aprili, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo tarehe 13 Aprili, 2021. PICHA NA IKULU


 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"