Friday, April 16, 2021

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO NA GAVANA WA BoT

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor Mpango Pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga Ofisini kwake Jijini Dodoma leo tarehe 16 Aprili, 2021. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor Mpango Pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga mara baada ya mazungumzo Ofisini kwake Jijini Dodoma leo tarehe 16 Aprili, 2021.  PICHA NA IKULU
 
0 comments:

Post a Comment