NAIBU WAZIRI CHILO AONGOZA VIONGOZI MAZISHI YA MAREHEMU MAMA MZAZI WA IGP SIRRO

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Khamis Hamza Chilo aongoza waombolezaji katika Mazishi ya Mama wa Inspekta Jenerali wa Polisi,Simon Sirro,kwenye  makaburi ya familia Kijijini Muliaza wilaya ya Butiama mkoani Mara
Wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wakiweka shada la maua


 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"