4/06/2021

MATUKIO KATIKA PICHA: RAIS SAMIA AKIWAAPISHA VIONGOZI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza Ikulu jijini Dar es Salaam leo Aprili 6, 2021 muda mfupi baada ya kuwaapisha Makatibu Wakuu, NAIBU KATIBU Wakuu na Wakuu watatu wa Taasisi za Umma.









Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Viongozi na Watendaji mbalimbali kwenye Hafla ya kuapishwa kwa Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu na Makamishna wa Taasisi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es salaam.

    

0 comments:

Post a Comment