MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AKUTANA NA WAZIRI JAFO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo leo Aprili 16, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais iliyopo Vuga, Unguja alipokwenda kujitambulisha kwa viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.





 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"