Sunday, March 7, 2021

YANGA YATIMUA KOCHA MKUU KAZE NA BENCHI LA UFUNDI


Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze(pichani) na wasaidizi wake katika benchi la ufundi wamefutwa kazi ikiwa ni saa chache baada ya timu hiyo kutoka sare ya kufungana bao 1-1 na Polisi Tanzania katika mchezo uliopigwa uwanja was Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Machi 7, 2021.

Wengine waliofutwa kazi ni Kocha Msaidizi Nizar Khalfan, Kocha wa Makipa Vladimir Niyonkuru, Kocha wa viungo Edem Mortoisi pamoja na afisa usalama wa timu Mussa Mahundi.


0 comments:

Post a Comment